Hii lugha yaitwa pia Ekihaya, Luhaya, Oruhaya, ama pia Ruhaya. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kihaya imehesabiwa kuwa watu 1,740,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Kagera.
Lugha hii ina vilugha vingine kama Bumbira, Edangabo, Ganda-Kiaka, Hamba, Hangiro (Ihangiro), Kyamutwara (Kiamutwara, Kjamtwara), Mwani, Nyakisisa, Yoza, Ziba (Ekiziba, Kisiba, Kiziba, Luziba, Naziba, Ruziba, Siba), Bugabo (Bugabu), Bukara, Hanja (Kianja, Kihanja, Kjanja), Missenyi (Misenyi), Nabuddu.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema ya Biblia nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.