Kijita (pia huitwa Echijita) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wajita. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kijita imehesabiwa kuwa watu 205,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Mara na Mwanza.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.