Kikinga ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakinga. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikinga imehesabiwa kuwa watu 140,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo wilaya ya Makete mkoani Njombe.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.