Kinyakyusa ama KiNyakyusa-Ngonde ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyakyusa. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kigogo imehesabiwa kuwa watu 1,080,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Mbeya na Njombe.
Vilugha vyake ni kama vile Nyakyusa (Nyekyosa), Kukwe (Lungulu, Ngumba), Mwamba (Cisociri, Sokelo, Sokile), Ngonde (IkyaNgonde, Konde), Selya (Kaaselya, Salya, Seria), na Sukwa.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.