Kinyamwezi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyamwezi. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kinyamwezi imehesabiwa kuwa watu 1,320,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Tabora, Rukwa, na Kigoma.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.