Kisukuma ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wasukuma. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kisukuma imehesabiwa kuwa watu 7,300,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Shinyanga, Geita, na Mwanza.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.