Fipa.Bible
Kuhusu Lugha ya Kifipa
Kifipa (pia huitwa Chifipa) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wafipa. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kifipa imehesabiwa kuwa watu 713,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Sumbawanga, na Namanyere wilaya Nkasi mkoani Rukwa.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.
Shiriki Nasi
Unaweza kushirikiana nasi katika miradi ya Tafsiri ya Biblia kwa kuchangia:
– Ujuzi wako katika Tafsiri:Kama ungependa kufanya kazi nasi katika mradi wa Tafsiri unaweza kuwasiliana nasi kupitia Meneja Miradi EMail : imwangota@biblesociety-tanzania.org
– Kuchangia Fedha
– Kusambaza Maandiko
– Ujuzi wako katika Tafsiri:Kama ungependa kufanya kazi nasi katika mradi wa Tafsiri unaweza kuwasiliana nasi kupitia Meneja Miradi EMail : imwangota@biblesociety-tanzania.org
– Kuchangia Fedha
– Kusambaza Maandiko
Kuhusu sisi
Tunakushukuru kwa Sala zenu na Msaada katika kazi zetu mbalimbali . Ikiwa ungependa kujua zaidi kuhusu Vyama vya Biblia ambavyo hufanya miradi kwa wasemaji wa Kiswahili basi tafadhali bonyeza hapa:
Unaweza kufahamu mengi zaidi kwa kutembelea vyama mbalimbali vya Biblia kupitia:
https://www.unitedbiblesocieties.org/society/bible-society-of-tanzania/
Wasiliana nasi
Chama Cha Biblia Cha Tanzania
16 Hatibu / 9th Road, Madukani Area.
P.O BOX 175, Dodoma – Tanzania
Tel: +255-(026)-2324661
E-mail: info@biblesociety-tanzania.org