Gogo.bible

Kazi ya kutafsiri Biblia kwa Lugha ya Chigogo ilipofikia

Chama cha Biblia cha Tanzania kwa kushirikiana na Kanisa tunafanya kazi ya kutafsiri Biblia kwa Lugha ya Chigogo. Kazi hii inafanyika kwa ustadi mkubwa na kuzingatia kanuni na utalaam wa tafsiri ya Biblia kutoka muungano wa vyama vya Biblia Ulimwenguni (UBS).

Kuhusu Lugha ya Chigogo

Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Dodoma

Ungana Nasi

Unaweza kujihusisha na Miradi ya Bibilia ya Kiswahili kwa kuchangia:
– Ujuzi wa Tafsiri:
Ikiwa ungependa kufanya kazi na sisi kwenye mradi kama mtafsiri tafadhali wasiliana na imwangota@biblesociety-tanzania.org
– Kuchangia na kuwa Muanachama
Ikiwa ungependa kuchangia upatikanaji wa Biblia kwa Watoto, Vijana na Wafungwa tafadhali wasiliana na smshana@biblesociety-tanzania.org au
Tuma Mchango wako kwenye namba hii ya M-PESA 890890 au piga 0765 530 892 kwa maelekezo zaidi.
– Kusambaza:
ikiwa ungependa kuwa muenezaji wa Neno la Mungu (Biblia) tafadhali wasiliana na ekamwela@biblesociety-tanzania.org

Zaidi juu yetu

Maombi yako na msaada kwa kazi yetu vinathaminiwa sana. Ikiwa ungependa kujua zaidi juu ya kazi za Chama cha Biblia cha Tanzania ambazo tunazifanya katika miradi mbali mbali basi tafadhali bonyeza hapa:

Unaweza pia kujua zaidi kwa kutembelea Chama cha Biblia cha Tanzania Makao Makuu Dodoma:
16 Hatibu / 9th Road, Madukani Area
P.O BOX 175, Dodoma – Tanzania
https://biblesociety-tanzania.org

Wasiliana nasi

Chama cha Biblia cha Tanzania

16 Hatibu / 9th Road, Madukani Area
Dodoma
Tanzania
BOX 175, Dodoma -Tanzania
Tel: +255-(026)-2324661
E-mail: info@biblesociety-tanzania.org
Website: https://biblesociety-tanzania.org
×

Hello!

Click one of our representatives below to chat on WhatsApp or send us an email to support@biblesociety-tanzania.org

× How can I help you?