Kiha ni lugha ya kibantu nchini Tanzania inayo zungumzwa na Waha. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiha imehesabiwa kuwa watu 990,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Kigoma karibu na mpaka wa Burundi, Kagera na Shinyanga.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.