Kihehe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahehe. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kihehe imehesabiwa kuwa watu 1,080,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Iringa region, Morogoro, Dodoma, na Mbeya.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.