Kikuria ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakuria. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kikuria nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 430,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Mara na Serengeti.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.