Kikwaya (pamoja na lahaja ya Kiruri) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakwaya na Waruri katika mashariki ya upwa wa ziwa Nyanza (Victoria). Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kikwaya imehesabiwa kuwa watu 115,000, yaani Wakwaya 70,000 na Waruri 45,000.
Hii lugha inazungumzwa katika eneo la Mara.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.