Chasu(pia huitwa Kipare) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wapare. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Chasu imehesabiwa kuwa watu 530,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro katika Milima ya Upare wilaya Mwanga na Same.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.