Kikaguru (pia huitwa Chikagulu) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakaguru. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikaguru imehesabiwa kuwa watu 241,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Morogoro, Dodoma, Tanga na Manyara.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.