Kikerewe (pia huitwa Kikerebe) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakerewe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikerewe imehesabiwa kuwa watu 100,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Mwanza, Mara, visiwa vya ziwa Victoria vya Ukerewe na Maisome.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.