
Makonde.Bible
Kuhusu Lugha ya Kimakonde
Kimakonde ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania na Msumbiji inayozungumzwa na Wamakonde. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kimakonde nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 1,320,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Mtwara,wilaya ya Tandahimba, na Newala.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.
Shiriki nasi
Unaweza kushirikiana nasi katika miradi ya Tafsiri ya Biblia kwa kuchangia:
– Ujuzi wako katika Tafsiri:Kama ungependa kufanya kazi nasi katika mradi wa Tafsiri unaweza kuwasiliana nasi kupitia Meneja Miradi EMail : imwangota@biblesociety-tanzania.org
– Kuchangia Fedha
– Kusambaza Maandiko
kuhusu sisi
Tunakushukuru kwa Sala zenu na Msaada katika kazi zetu mbalimbali . Ikiwa ungependa kujua zaidi kuhusu Vyama vya Biblia ambavyo hufanya miradi kwa wasemaji wa Kiswahili basi tafadhali bonyeza hapa:
Unaweza kufahamu mengi zaidi kwa kutembelea vyama mbalimbali vya Biblia kupitia:
https://www.unitedbiblesocieties.org/society/bible-society-of-tanzania/
Wasiliana nasi
Chama cha Biblia Cha Tanzania
Tel: +255-(026)-2324661
E-mail: info@biblesociety-tanzania.org